Ruby-Zoisite jewelry class in collaboration with massai ladies. At the mines in Mundarara - Longido. Jewels are made durig 3 days without welding equipment. With simple tools, but with sophisticated techniques. | |
Cutting and carving Jade A workshop organized in Switzerland. With a visit of the jade deposit in the Swiss mountains, followed by an introduction to cabochon cutting and carving of jade. | |
Orbe river, Switzerland Gold washing in Orbe river. We found some gold, beautiful swiss jade and even a few dark sapphires. | |
Bonde la mto Umba, Tanzania Kikundi cha wanafunzi wakitembelea machimbo ya bonde la mto Umba ambako hupatikana madini ya: Sapphire, Ruby, Garnet, Turmalin, Spinell na Zircon. Wakishirikiana na wachimbaji wa eneo hilo. | |
Morogoro, Tanzania Tulitembelea machimbo mbalimbali ambako hupatikana: Spinel, Ruby, Sunstone, Scapolite, Danburite, Tremolite and Turmalin. Tukishirikiana na wachimbaji wa eneo hilo. | |
Idar-Oberstein, Ujerumani Nilipata pia nafasi ya kutembelea kiwanda cha kihistoria cha ukataji wa madini ya vito. kiwanda hiki kilikuwepo kabla ya umeme kuanza kutumika. Visit of a historical gem cutting workshop, na hadi leo hii kinaendelea kutumika kwa kutumia nguvu ya maji moja kwa moja. Vile vile gurudumu hilo linalosukumwa kwa maji hutumika kuwashia generator dogo kwa ajili ya taa ndani ya kiwanda hicho. | |
Swiss milima ya alps Kwenye milima hii hupatikana madini mbalimbali kama vile: Adular and Quartz yenye chlorite inclusions. Tazama pia: Cavradi gorge | |
Tucson, Marekani maonyesho ya madini Nikiiwakilisha Tanzania wakati wa maonyesho ya kimataifa ya vito na madini mbalimbali. |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki