Tanzania
Kozi nzina ya ukufunzi wa ukataji na ung'arishaji wa madini ya vito Jumla wiki 6 |
- Mpya - kozi nzima ya ukufunzi wa ukataji na ung'arishaji wa madini ya vito. Kozi hii inajumuisha utangulizi wa kina kwa somo la jemolojia, ukataji na ung'arishaji vito (cabochon and faceting) vya thamani kwa kutumia mashine za Ultra-Tec V5 za kidijitali. |
Ziara ya kutembelea machimbo ya bonde la Mto Umba - Tanzania Jumla siku 14 |
Ziara ya kutembelea machimbo maarufu ya bonde la Mto Umba - Tanga ikifuatiwa na siku 5 za ukataji wa madini ya vito Dar-es-Salaam. Kiongozi wa ziara hiyo akiwa ni mataalamu katika fani ya ukataji na ung'arishaji wa vito - Noreen Masaki. |
Umba mining area Total 17 days |
Join an exploration trip to Umba mining area and several other places, with the option of participating in a 3 day faceting class on Ultra-Tec V5 digital faceting machines. |
Faceting class in Dar-es-Salaam Total 5 days by appointment |
Intensive training with master gem cutter Noreen Masaki on Ultra-Tec V5 digital faceting machines. |
Gemology class Total 5 days |
An intensif introduction to gemstone identification covering rough and cut gems. With the master gem cutter Noreen Masaki. |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki