Dar-es-Salaam Tanzania
Jemolojia siku 5 kwa US$ 400.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 1 kwa US$ 400.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 2 kwa US$ 600.- |
Ukataji wa madini ya vito wiki 6 kwa US$ 1'250.- |
Kazi ya uchongaji wiki 1 kwa US$ 400.- |
Darasa la waksi modo na kasti wiki 1 kwa US$ 450.- |
Usonara wiki 1 kwa US$ 425.- | |
---|---|---|---|---|---|---|---|
Jan. 27th - 31st | Jan. 27th - Feb. 7th | ||||||
July 7th - 11th | June 16th - July 25th | August 4th - 8th | |||||
Dec. 15th - 19th | Dec. 8th - 12th | Dec. 1st - 12th | |||||
Kwa madarasa ya lapidary kwa kuongeza: Uhispania na Kireno. |
Nafasi zinatolewa kwa mfumo wa atakayewahi kuja ndiye atakayehudumiwa kwanza (first come first serve basis). Nafasi yako itatunzwa mara tu baada ya malipo ya ada kukamilika. Wahi kwani nafasi za wanafunzi ni chache.
|
Usajili kwa ajili ya darasa. Mafunzo kazini kwako na huduma za ziada - Darasa la uwalimu wa ukataji wa madini ya vito.
Mashine na vifaa vya lapidari na jemolojia kwa darasa la watu 20, 12 au 6.
Gemstone Safari elimu kwa vitendo ya jiologia na jemolojia, utangulizi wa jiologia ya Tanzania pamoja na kutembelea migodi tofauti tofauti. Januari na Julai. |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki