Utambuzi wa madini ya vito katika Lapidary Training Centre - Dar es Salaam.
Kipindi cha wiki moja utajifunza jinsi ya kupima, kutambua na kutofautisha aina mbalimbali za madini.
Kozi hii imebuniwa ili kukupa utangulizi wa kinadharia na vitendo kwenye fani ya jemolojia. Ili upate ujuzi wa kuchunguza na kutambua kwa usahihi madini ya vito, yanayopatikana ardhini na yale ya kutengenezwa kiwandani. Mara kwa mara wanafunzi wamekuwa wakiunda na kuendeleza uhusiano wa kibiashara walioujenga kipindi cha masomo na kuwa wenye mafanikio. Hakuna pengine isipokuwa Lapidary Training Centre kwa kujenga mahusiano na kutafuta mshiriki bora katika biashara yako. Cheti kutoka Lapidary Training Centre ni alama ya uadilifu na utaalamu wako na funguo za mafanikio ya kazi yako.
Mtaala
![]()
|
Wanafunzi wa somo la jemolojia | |||
---|---|---|---|
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki