iliyopo chini ya uangalizi wa Noreen Masaki Lapidary Training Centre - Dar es Salaam.
Maktaba hii imelenga vitabu vinavyoelezea historia ya madini ya vito kutoka kwenye machimbo hadi kufikia usonara.
Vinavyohusu: jiolojia, madini, jemolojia, ukataji wa vito, na usonara.
Vitabu vyote ni vya lugha ya kiingereza.
ukurasa 1 |
ukurasa 2 |
Muda wa kazi: |
Maktaba inafunguliwa kwa watu wote bila gharama zozote kutoka Juma tatu hadi Jumamosi kuanzia saa 3:00 asubuhi - 11:00 jioni. Tafadhali fanya mawasiniano nasi kabla ya kufika +255 787 721 761 |
|
© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki