English


Uchongaji wa madini ya vito
kwa michoro na maumbo ya kisasa
kwa kutumia mashine bora na
za kisasa, kwa ubora wa mafunzo
hukuwezesha kupata cheti bora.

Noreen Masaki ni mwalimu katika fani ya uchongaji wa madini ya vito
na muwakilishi wa mashine za Ultra-Tec, Tanzania



1st place
European Open 2024
faceters competition

Noreen Masaki
with a Tanzanite and
her Ultra-Tec machine

1st place
Amethyst heart
concave cut 15.73ct

Mpya:
November 2024 Recent concave cuts
Octoba 2024 Nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya European Open faceting 2024
Octoba 2024 Mpya - kozi ya lapidary kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kwa wiki 6
Septemba 2024 Kozi kwa mwaka 2025 - masomo yote kwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza
Mei 2018 Kabla na baada ya kurudia kukata
Septemba 2017 Mawe
Septemba 2016 Tafsiri ya kurasa zote kwa lugha ya Kiswahili



Kozi
Vifaa
Matukio yajayo
Madini & migodi
Kazi zangu
Sifa zangu
Mawasiliano
Mwanzo   Notisi ya faragha
logo

© Hati miliki ya picha zote Noreen Masaki